FID Q AINGIA KATIKA ORODHA YA WASANII 20 BORA WA HIP HOP AFRIKA
Jarida la SA HIP HOP Ndilo limetoa orodha hiyo ya wasanii bora wa HIP HOP Afrika Mwaka 2015 ambayo imemjumuisha msanii wa HIP HOP Fareed Kubanda kutoka Tanzania. Katika ukurasa wake wa twitter leo h…