Katika ukurasa wake wa twitter leo hii aliandika hivi:
''Kiukweli kama nimeweza kutusua kwenye hiyo top 20bila ya kuwa na video zao, sijui itakuae nikianza kuzitoa''
Orodha nzima iko hapa
1.AKA- Afrika kusini
2.Sarkodie-Ghana
3.Ice Prince-Nigeria
4.Cassper Nyovest-Afrika kusini
5.M.I.- Nigeria
6.K.O-Afrika kusini
7.Manfest-Ghana
8.K'naan-Somalia
9.Zues-Botswana
10.Phyno-Nigeria
11.Olamide-Nigeria
12.Dee Money-Ghana
13.Octopizzo-Kenya
14.Tumi-Afrika kusini
15.Stunner-Zimbabwe
16.Youssoupha-Congo
17.Dama Do Bling-Msumbiji
18.Fid Q-Tanzania
19.Cleo Ice Queen-Zambia
20.Cal Vin-Zimbabwe
Facebook Blogger Plugin by Dj Hunter
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.